Picha hii inaonyesha mji wa Kigamboni kwa juu.
Ramani ya Mji wa Kigamboni kwa kutokea juu.
Baadhi ya Vitongoji vikuu vya Kigamboni.
Mji wa Kigamboni upo nje kidogo ya Mkoa wa Dar-es-salaam umepakana na Bahari ya Hindi pamoja na Bandari kuu ya Dar-es-salaam.Ni mji ambao kasi ya ujenzi wa nyumba na makazi imekua ikiongezeka kila siku itwapo leo.Biashara na shughuli mbalimbali zimekuwa zikishika kasi yake pamoja na uongozi wa vijiji na serikali za mitaa.Burudani pembezoni mwa Bahari ya hindi(Beaches) zimekuwa kivutio kwa watalii wa ndani na nje ya jiji la Kigamboni.Kwa kifupi ni mji wa kitalii kwani una vivutio vingi zikiwemo mbuga za wanyama pia.Viwanda haviachwi mbali kwa mfano kiwanda cha kusafisha mafuta Afrika mashariki na kati TIPPER&TAZAMA ni ushahidi tosha.Karibuni kigamaboni wageni kwani sisi wenyeji kwetu sisi,huu mji ni mpya kila siku, tunaupenda na kuuthamini ndio maana hatupo tayari kuona jambo lolote baya likikabiri jiji hili."Karibuni sana"
No comments:
Post a Comment